Institute of heavy equipment and technology
Mkuu wa chuo Cha Mitambo kilichopo Dar es salaam Kijitonyama na Dodoma anapenda kuwatangazia nafasi za masomo katika Course Zifuatazo
Operation of Wheeloader
Operation of Hydraulic Excavator
Operation of Motor Grader
Operation of Bulldozer
Operation of Forklift
Operation of Mobile Crane
Operation of Harbour Crane
Muda Ni miezi miwili tu kwa kila mtamabo mmoja.