Hiki ni kifaa ambacho kinatumika kukusiadia wew ambaye unataka kuchek video yoyote kupitia simu yako na pia vile vile kinasaidia kubalance mwanga unaotoka kweny simu
kifaa hiki kinakusaidia kukuza screen ya simu wakati wa kutazama video yoyote popote pale ulipo nyumbani, kwenye gari, kazini na hata ukiwa unasafiri
Screen size yake ni : 8.55 inches
NB: Mkoani pia tunatuma kwa uaminifu