Unapata na mkanda wa chuma au mkanda mwengine na screenProtector
Kwanza ni fullscreen
Inapiga simu na kupokea
Unaweza kuweka pict yako kwny saa
Ina wallpaper nyng kuchagua ya kuweka
Unaweza kuweka password
Ina games
Pia unaunganisha na simu yako kukuletea notification za simu yako kuja kwa saa yako ya mkonon,kama;-
•whatsapp
•facebook
•instagram
•simu na msg za simu yako nk!