Tanzania's Marketplace For Products & Services
Speaker mpya ya matangazo na mahubiri iko complete pamoja na microphone yake inatumia flash, bluetooth, memory card, fm radio, aux mode, usb drive inafaa sana kwenye matangazo pia inafaa kwenye mahubiri inakaa na chaji masaa 10 au zaid ina remote control free delivery kwa wateja wa dar mikoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa sana