Post Your Ad

Mashine Yakusaga Na Kukoboa 2 In 1.

Tsh 2,288,500

Product Details:

Mashine Yakusaga Na Kukoboa 2 In 1. -Faida Za Mashine Hii ?Inakazi Mbili Inasaga Na Kukoboa Kwa Wakati Mmoja. ?Inarahisisha Kazi Na Kupunguza Gharama Za Umeme. ?Inasaga Na Kukoboa Vitu Vingi Kama Mahindi,Mchele,Ulezi Nk ?Inauwezi Wakusaga Kilo 300Kwa Saa Na Kukoboa Kilo 180/ Saa. ?Nzuri Sana Kwa Kazi Na Inatumia Umeme Mdogo Wa Majumbani 220V. ?Ni Portable Na Rahisi Kuhamishika Na Inauzito Wa Kilo 75 Tu. ?Inatumia Motor Moja Yenye 3000Wats.

Specification:

  • Inakazi mbili Inasaga na kukoboa kwa wakati
  • Inauwezi wakusaga kilo 300kwa saa na kukoboa kilo 180/ saa.
  • Ni portable na rahisi kuhamishika na inauzito wa kilo 75 tu.
  • Inatumia motor moja yenye 3000wats.

Item Details: