Tanzania's Marketplace For Products & Services
Smart Tv Box Wapenzi wa mipira, Movies na Tamthliya, hii ni habari njema kwenu. TV BOX inakuwezesha kuangalia channels nyingi Sana bila kutumia king'amuzi chochote kile Utaweza kuInstall Application uipendayo, unaweza kuangalia mipira LIGI ZOTE kubwa duniani (EPL, LA LIGA, BUNDESLIGA, SERIE A, UEFA, EUROPA nk) na michezo mingine yote SMART TV BOX ni device ambayo unaunganisha na TV yako kupitia HDMI CABLE, inatumia mfumo wa APPLICATIONS (APPS) Zipo APPS ambazo tayari tumeshakuwekea, na kupitia izo APPS utapata access ya channels mbalimbali za mipira ligi zote, michezo yote, movies nk Pia unaweza kudownload APP yoyote unayoipenda ukatumia kwenye screen yako Unahitaji tu access ya internet kuweza kuangalia. Unaweza kuconnect kupitia WI-FI, hotspot ya simu yako, router au kupitia ethernet cable Hii TV BOX inatumika kwenye LED TV na SMART TV haichagui aina ya TV na wala hautohitaji king'amuzi chochote Tupo Posta mpya posta house 3rd floor Tunafanya free delivery dar mikoani tunatuma