Post Your Ad

Mashine ya kunyolea ( Kemei Homecut Deluxe Og)

Tsh 30,000

Product Details:

Kemei Homecut Deluxe Og !!! Mashine Ya Kunyolea Ya Saluni Tsh 30,000/= Tu Iko Full Set (Mkasi, Vitana, Brash, Size Lev 1-4, Kitambaa Cha Kujifunika, Mafuta Ya Cherehani Etc. Ina 1 Year Garanty Card (Ni Form Ya Kujaza) Kwa Bei Poa Free Delivery (Dsm Pekee) Tunapatikana Keko Furniture Karibun Kama Hupendi Kushare Mashine Tumia Hii Nenda Nayo Salun Kuepusha Magonjwa Ya Sio Lazima.. Kwa Matumiz Yote Ya Familia Na Saluni Inapiga Kazi Kama Una Mpango Wa Kua Na Salun Hii Ndo Nafac Yako Sasa.. You're Most Welcome

Specification:

  • Size Lev 1-4
  • Brash

Item Details: