Tanzania's Marketplace For Products & Services
air cooler tuna lita 8 na lita 12 Hii ni suluhisho la joto kama dar tunavyoijua ina system km ac upepo wake una asili km wabaridi Warranty mwaka mzima Free delivery Contact WhatsApp K/koo msimbazi street Pia tuna bidhaa nyingi kama friza,friji,Microwave oven, blender,sabufa,home theater system,soundbar washing machine automatic na manual fan water dispenser,majiko ya umeme na gas plat 1.2,4 na6 na ac zipo karibuni sana