Tanzania's Marketplace For Products & Services
ISECURE TECHNOLOGY tunawaletea kifaa (sensor) za kwenye madirisha na kwenye milango. Kifaa hichi kitakusaidi kuweka ulini kwenye nyumba yako. Kifaa hichi kitapiga kelele pale dirisha au mlango utakapofunguliwa hivyo kuwafanya wahalifu waogope