Tanzania's Marketplace For Products & Services
Karibuni kupata Mitandio ya aina mbalimbali kwa bei ya jumla na rejareja. Tunapatikana Tabata kinyerezi Dar es Salaam. -Shiffon za kofia sh 9000. Jumla sh 8000 kuanzia 3 - Shiffon printed sh 8000. Jumla sh 7000 kuanzia 3 - Mpira ready to wear sh 8000. Jumla sh 7000 kuanzia 3 - Crinkle cotton sh 8000. Jumla sh 7000 kuanzia 3 - Cotton sh 7000. Jumla sh 6000 kuanzia mitatu. -Tunafanya delivery unalipia sh 2,000 kwa Dar, Mikoani tunatuma kwa gharama za mteja.