Cotton material kwa bei ya 150,000! Mali safi imenyooka, haina kipengele!
Kanzu Mafta kwa bei ya 120,000 - Moto wa kuotea mbali!
Kanzu Saudia Style kwa bei ya 75,000 - Pendeza kwa bei nafuu!
Tupo Dar, lakini kama uko nje ya Dar, kanzu itakufikia popote ulipo! Tajiri yangu atakutumikia kwa bei ile ile. Karibu!