Post Your Ad

Tanzania's Marketplace For Products & Services

Castor oil (mafuta ya mnyonyo)

Tsh 5,000

Product Details:

Jipatie mafuta ya mnyonyo (castor oil) yaliyotengenezwa kwa mbegu za mnyonyo kwa ajili ya nywele zako Haya mafuta ni ya asili hayana kemikali FAIDA/KAZI ZAKE Hurefusha nywele Huondoa/kuzuia mba Yanakuza nywele Yanazuia miwasho kichwani Yanajaza nywele (kwa wale wenye nywele chache) Yanazuia nywele kukatika Yanaondoa michirizi mwilini (ya unene au uzazi) Yanafanya nywele kua nyeusi (kwa wale wenye nywele nyekundu) Yapo katika ujazo tofauitofauti 120ml ni 5000 250ml ni 10000 Lita 1 ni 20000 Lita 5 ni 55000 Lita 20 ni 155000 Wakala kinyerezi/mbezi 0688763460 Wakala zanzibar 0774501040 Wakala kigamboni 0716060780 Bado tunaendelea kupokea mawakala Nafasi za uwakala zipo

Do you Have Something To Sell?

Post your ad on dilizote.com