Vijora Pambe Kariakoo
Tunakuletea madira ya aina yote
Vijora vyenye mtandio 13000 jumla 12000 kuanzia pic 5
Visivyo na mtandio 6500 jumla 6000 kuamzia pic 5
Msomari 26000 jumla 25000 kuanzia pic 5
Msomari wa bahama 28000
Batiki 15000 jumla 14000 kuanzia pic 5
Vijora plain 15000 jumla 14000 kuanzia pic 5
Plain vilivyodariziwa 18000 jumla 17000 kuamzia pic 5
Guberi 22000 jumla 21000 kuanzia pic 5
Batiki za kisomari 25000 jumla 24000 kuanzia pic 5
Madira ya kanga (coton) 12000 jumla 10000 kuanzia pic 5
Mwanamke kono 30000 jumla 28000 kuanzia pic 5
Mitandio y mpira 8000
Tuko kariakoo nyuma ya msimbazi polisi karibu na jengo la congo tower
Pia tunatuma mikoani na diliver ni 5000 ni juu ya mteja