Pasi Za Nywele
-Inanyoosha nywele aina zote
-Inaweka mawimbi makubwa na madogo
-Ni Imara from ITALY
-Ina moto mkali.
Rahisi kutumia.
Napatikana Dar ,tabata matumbi,karibu na kituo cha daladala,
Tunafanya.delivery popote ulipo,Mikoani pia natuma kwa Umnifu zaidi.
KARIBUNI