Mali Mpya Karibuni sana wateja wetu Vitenge aina ya Vinva,Nvina & Vuuma maua mazuri ya kuvutia.
Vipo kama vilivyo kwa picha
Duka lipo Makumbusho stand jengo la Viva supermarket ghorofa ya kwanza chumba no. 33A
Tunatuma popote duniani kwa uaminifu, we do Delivery.