Tanzania's Marketplace For Products & Services
Viatu vya mipira wa miguu vinapatikana aina mbali mbali Tunapata kkoo mtaa wa raha na muhonda jengo la wanyama hotel ukifika tunaweza kuwasiliana kwa whatsapp namba Delivery tunafanya mikoa yote ya tanzania pamoja na nje ya Tanzania kwa gharama za kwako wewe mteja Tunawakaribisha sana