Post Your Ad

Tanzania's Marketplace For Products & Services

Meza classic kwa majiko ya gas

Tsh 40,000

Product Details:

Meza kwa majiko ya gasi Karibu tukupatie meza imara Na classic kwa 40,000 tu Tunafanya delivery mikoa yote (gharama za usafiri analipia mteja) Kwetu uaminifu na ubora kwanza. Tunapatikana Tabata kisukuru mtaa wa mashiringi

Do you Have Something To Sell?

Post your ad on dilizote.com