Tanzania's Marketplace For Products & Services
Karibu tunauza mashuka pamoja na duverts Mashuka yetu ni mazuri hayapauki hayatoi vipele Shuka bei ya jumla ni elf 17 ambayo unapata shuka 2 na foronya Duverts bei ya jumla ni elf 40,000/= pc zinaanzia tano (duvert 1 shuka mbili pamoja na foronya Pia mabalo ya duvert yapo na mabalo ya mashuka yapo karibu