Tanzania's Marketplace For Products & Services
12kg Automatic Washing Machine ni machine ya kisasa yenye uwezo wa kufua, kusuuza, kukamua, kukausha na kufanya automatic water inlet kuingia ndani ya machine kwa kiwango cha liters ulichokadiria. Unapewa ofa ya pasi/heater kwa 15,000Tsh. Tupo kigamboni ferry opposite na sheli ya kobil Tunafanya free delivery na mikoani tunatuma