Tanzania's Marketplace For Products & Services
Oven mpya ya umeme ya kisasa ina plates 2 juu za kupikia Ina ujazo lita 48 Ina grill pamoja na kuchoma mikate,cake,nyama,kuku etc Ina timer Free delivery in dar Ina warranty mwaka mmoja