Tanzania's Marketplace For Products & Services
VASES NZURI NA ZA KISASA ZINAPATIKANA KWA BEI NAFUU WASILIANA NASI KUPATA YAKO Vases za kuwekea maua zinapatikana.Kubwa sh 85,000...Size ya kati 65,000 na 45,000... Ndogo 25,000. -Dar unaletewa popote ulipo. -Mikoani tunatuma kwa bei nafuu.