Ecologia septic tank jenga nasi mifumo ya majitaka isiyojaa mda wote wa matumizi yako
1. Mifumo yetu haichukui eneo kubwa katika kuujenga hivyo inawafaa hata wale wenye
(UFINYU WA ENEO)
2. Mifumo yetu inafanya vizuri hata kwenye maeneo yenye (CHEMICHEMI)
3. Mifumo yetu haijai mda wote wa matumizi yako na unajengwa na (WATAALAM)
4. Mifumo inafanya vizuri hata kwenye Viwanda, Mashule, Makanisani, Misikitini, Mahotelini n.k
5. Kwa wastani gharama zetu ni tshs 1117000/= kuanzia familia ya mtu 1-20 na gharama hizo zinahusisha gharama ya material na ufundi
Ofice zetu zipo (GONGOLAMBOTO) Lakini tunafanya kazi Mikoa yote Tanzania karibu
(Ushauri ni bure)