Post Your Ad

Kapeti za manyoya

Tsh 75,000

Product Details:

Kapeti za manyopya laini kwa bei poa Mazulia yenye manoya laini sana na ya kisasa kabisa na yenye mvuto wa hali ya juu kupendezesha nyba yako. Size:mita 2 Pia tunafanya delivery mpaka popote mteja alipo dar na utaletewa mzigo wako ulio agiza kwa uaminifu mkubwa na pia kama upo mkoani tunatuma kwa basi na bila tatizo utapokea mzigo wako kwenye ofisi husika