Post Your Ad

Bati Aina Zote Mabati

Tsh 9,500

Product Details:

ubora wa mabati yetu unatufanya tuongeze uzalishaji zaidi na kushinda imani ya wateja, wateja wetu huwa hawafurahi tu huduma kutoka kwetu bali ni ubora na uimara wa mabati yetu kwenye uezekaji wa nyumba mbalimbali tafadhali wasiliana nasi tutakusikiliza na kukupatia ushauri wa kiufundi bure, tunasafirisha bure mikoa yote Tanzania Karibu kiwandani upate bati imara, zenye zink na aluminiam ya kutosha inayofanya bati lidumu kwa muda mrefu bila kupata kutu na kutoboka, Kwa bei nafuu. Bei zetu ni:- #bati za rangi mgongo mkubwa gauge 30 Tsh 23.500//=, na Tsh 9,500/= kwa mita(vipimo maalumu). #mgongo mdogo Tsh 23.000/= #Gauge 28 mgongo mdogo na mkubwa Tsh 31500/=. na Tsh 11.500/= kwa mita(vipimo maalumu). #bati mfumo wa kigae gauge 28 Tsh 36.500/= na Tsh 13,000/= kwa mita. TUNA UPANA MKUBWA WA BATI #MIGONGO MIPANA CM87 #MIGONGO MIDOGO CM82 #VERSATILE CM95 #LUGOBA. CM95 Bati zote zina urefu wa futi kumi au mita tatu. Ofa Usafiri kutoka dar es salaam hadi mkoani buree