Post Your Ad

Tanzania's Marketplace For Products & Services

Meza za Majiko ya Gesi (Kitchen cabinet)

Tsh 50,000

Product Details:

Karibuni sana Gold furniture tunatengeneza kitchen cabinet za majiko ya gesi usipate shida wakat wa kupika bei zetu ni kuanzia 50k,60k,70k,90k,120,140,170,190k karibuni sana location mabibo ntumie sample yako whatsapp ya unayotaka na utapata kitchen cabinet yako mapema tunatoa nafasi kwa mteja kuchagua rangi anayotaka ipakwe kwenye meza yake ili iendane na mpangilio wa chumba chake karibuni sana

Do you Have Something To Sell?

Post your ad on dilizote.com