Pre cooked beans and legumes
We process beans that getting ready within 20mins..
Maharage safi na makavu yaliyoandaliwa na kusindikwa kwa technologia mpya..hamna kuosha ,kuchemsha wala kuloweka wala huitaji fridge kuyahifadhi . unaponunuwa ni kwenda kuyaunga tu.ndani ya dakika 15-20 yanakuwa tayari..
Yanapatikana pia kituo cha Tanesco njiro karibu na chuo cha uhasibu..Mandela University, ngulelo,usa river,kwa mrombo,na kwengineko NA popote utapohitaji.
West mile wanakuokolea gharama ya nishati..
Kuni,mkaa,gesi,umeme,.nk..
Karibu tukuhudumie