Post Your Ad

Search by image

Find what you love by uploading an image

Meza za kupikia

TZS 70,000

Product Details:

Usipikie tena chini jipatie meza za jiko kwa bei ya kawaida kabsa zipo kuanzia 50k inakuwa simple haina mlango 60k inakuwa na section tu alaf kuanzia 70k inakuwa na mlango mmoja kuanzia 85k mpaka 120k milango miwil.150k milango mitatu 0623011171 tupo mabibo mwisho karibuni sna.