Tanzania's Marketplace For Products & Services
Kitanda Cha Pallet Kwa ajili Ya Mtoto Single na Double Deka Tunatengeneza bidhaa mbalimbali kwa kutumia pallet kama vile : Kitanda, Meza, Viti, Kabati, Shelf na Stendi za Viatu. Location: Kituo cha mwendokasi Shekilango kuelekea bandari kavu, mabibo