Mashine Yakusaga Na Kukoboa 2 In 1
-Faida za Mashine hii
-Inakazi mbili Inasaga na kukoboa kwa wakati
mmoja.
-Inarahisisha kazi na kupunguza gharama za
umeme.
-Inasaga vitu vingi kama
mahindi,mchele,ulezi ,mihogo, kawaha na nafaka zote kavu
-Inakoboa mahindi, mpunga, mtama .
-Inauwezi wakusaga kilo 300kwa saa
-Nzuri sana kwa kazi na inatumia umeme
mdogo wa majumbani 220v(single phase)
Milioni mbili laki nne
Mashine iko complete tayari kutumia .
Wateja wa mkoni wanatumiwa kwa gharama za mteja
Tupo Dar es salaam kisutu .(Morogoro road na Indian street)