Post Your Ad

Tanzania's Marketplace For Products & Services

Laptop Battery

Tsh 1

Product Details:

Kama betri ya Kompyuta yako imepata hililafu, KARIBU tukuuzie kwa gharama Nafuu sana Je umewahi kutumia Kompyuta mara ukaona ishara zifuatazo? 1. "No battery is detected" 2. "Full Charged (100%) Consider Replacing your battery" 3. "Plugged in not Charging" 4. Kompyuta upata joto haraka sana pale unapokuwa unachaji. 5. Kompyuta huzima ghafla pale unapochomoa Adapter. Unapoona ISHARA hizo ni vyema kuamua kubadilisha betri la Kompyuta yako. Unapotaka kubadilisha Betri ya Kompyuta yako ni vyema kutambua aina ya Kompyuta yako (Kama ni Hp, Dell, Lenovo, Acer n.k) pia elewa "Model" ya laptop yako kama ni Dell Latitude e6410, Hp Elitebook 8440p,n.k. CATAUX COMPUTERS, tunakuletea Betri za aina mbalimbali (MEDEL) kwa ajili ya Laptop yako. Na tupo tayari kuhakikisha kila aina ya Tatizo kwenye KOMPYUTA na SIMU yako. TUPO HAPA DAR, MWENGE STAND YA ZAMANI. Tupigie au Tuma SMS kwenye: KARIBUNI SANA.

Do you Have Something To Sell?

Post your ad on dilizote.com