Tanzania's Marketplace For Products & Services
JIKO HILI Kitaalamu linaitwa infared gas cooker. Yaani ni Jiko la gesi linalotoa moto mpana zaidi na linawaka kama jiko la umeme. Majiko haya ndio yako sokoni kwa sasa. Kwani hayatoboi masufuria. Duka letu linawapa ofa kubwa wote waohitaji kununua seti hii nzima tayari kwa matumizi. Yaani tutakuuzia kila kitu kwa 160,000 tu. Na kama hiyo haitoshi tunakuletea popote ulipo Mwanza nyamagana na Ilemela. Unalipia ukipokea mzigo wako