Tanzania's Marketplace For Products & Services
Karibu Sana NYOTA DRIVING SCHOOL! Tunatoa elimu bora, ya kisasa na yenye kuzingatia viwango vya usalama barabarani. Tumejipanga kuhakikisha kila mwanafunzi anapata ujuzi wa kujiamini barabarani, kuendesha kwa usahihi, na kufaulu mitihani ya TRA kwa mara ya kwanza. Huduma Tunazotoa: Mafunzo ya udereva kwa wanaoanza (Beginner Driving Classes) Mafunzo ya madaraja mbalimbali ya leseni (A, A1, B, C, D, E, F) Mafunzo ya usalama barabarani (Road Safety Training) Mafunzo ya Traffic Rules & Theory Driving Practice kwa magari ya kisasa na salama Maandalizi ya mitihani ya nadharia na ya vitendo (TRA) Huduma za ushauri na usajili wa wanafunzi Tunajivunia kutoa mafunzo kupitia waalimu wenye uzoefu mkubwa na magari yaliyokaguliwa mara kwa mara kwa usalama wako.