Post Your Ad

cover za magari

Tsh 160,000

Product Details:

Hii ni nin !?? Hizi ni cover za magari ambazo zimetengenezwa kwa material mazuri ili utakapo funika gari yako basi isiathiriwe na mikwaruzo , Vumbi, Mionzi ya jua , Mvua , uchafu kutoka kwa ndege wa angani . #FAIDA ZAKE _ . Zina uwezo wa kuzuia mioz Mikali ya jua ili isipaushe rangi ya gari yako . .Huzuia vumbi lisiingie kwenye pembezoni za kioo cha gari yako . Huweza kulinda gari dhidi ya kunyeshewa na mvua . #UWEZO WAKE _ Cover hizi ni Univasal kwa maana kwamba zinaingiliana kwa gari zote za miundo midogo ukiacha bus / coster.