-Hiki ni kifaa cha muhimu sana katika computer yako au Laptop yako nk.
- Kupitia kifaa hiki unaweza kuunganisha ( Monitor ) Vioo 8 nane vya computer kwa wakati mmoja ukatumia kwa urahisi kabisa.
- Kupitia computer moja au Laptop moja utaweza kuunganisha ( Monitor ) Vioo 8 nane vya computer .
- Ni kifaa cha muhimu sana kuwa nacho napia kinakurahisishia mambo mengi.