Karibu Sana kwa huduma ya mbao za kupaua zenye dawa (treated) Tuna mbao ndefu za urefu wa ft 18,19,20....hizi tunauza kwa futi ambapo Bei zake ni
2x4 sh 800 kwa futi
2x2 sh 400 kwa futi
Na tuna mbao yenye urefu wa futi 12 hi tunauza kwa Kila mbao
2x4 sh 7000 kwa pc
2x2 sh 3800 kwa pc
Fishabord
1x8 sh 13000
1x10 sh 18000
Karibuni Sana
Discount ipo kutokana na pcs unazohitaji