Tanzania's Marketplace For Products & Services
Mashine za kukamulia alizeti Kusaga nafaka kavu Kukoboa nafaka kavu Kusaga viungo tangawizi, hiriki n.k.. Kusaga karanga (peanut butter) Kukamulia juisi ya miwa Kuranda na kuchana mbao Kutengeneza sabuni za miche Kutengeneza sabuni za maji Kufyatulia tofali Kukoroga zege Kuvuna mpunga Kutengeneza chaki Kutengeneza mkaa mbadala Kusaga kisamvu Kutengeneza PASTE Kupanda miche ya mpunga Kupiga/kupukuchua mpunga, mahindi, mtama, njegere n.k.. Kuprint viroba Kukobolea mpunga (super) SATAKI na nyingine nyingi ambazo hazijaorodheshwa hapo juu.