Cherehani Ya Mkono Ya Betri (Electric Handheld Sewing Machine )
Cherehani Ya Mkono Ya Betri (Electric Handheld Sewing Machine )
Tsh 25,000
Product Details:
Cherehani Ya Mkono Ya Betri (Electric Handheld Sewing Machine)
Cherehani hii rahisi kutumia itakusaidia kushona nguo zako popote ulipo, hata upatapo dharura. Ni rahisi sana kutumia, inashona kwa haraka na kwa ufanisi mkubwa. Jipatie sasa kwa 30,000/= tu na 25,000/= bei ya jumla. Karibu sana, Delivery dar 2000 na mikoani tunatuma pia. Tuko Mabibo Hostel.