Tanzania's Marketplace For Products & Services
Tumejidhatiti vya kutosha kabisa kuhakikisha tunawaletea Betri ORIGINAL kwa ajili ya Simu mbalimbali za Iphone pamoja na Android. Betri kama za Tecno, Sumsung, Infinix, HTC,Nokia pamoja na Simu za Iphone kama Iphone 5,Iphone 5s,Iphone 6, Iphone 6s, Iphone 6 plus. Zote hizo zinapatikana. TUPO HAPA DAR, MWENGE STAND YA ZAMANI.