Post Your Ad

Mashine za kuchuja maji chumvi

Tsh 850,000

Product Details:

Mashine za kuchuja maji chumvi Badili Maji Chumvi Kuwa Safi,Salama Na Ya Kunywa. Tuna machine na mifumo ya maji Majumbani,Taasisi mbalimbali kama mashule,hospitali na majengo ya biashara,mahoteli,viwanda,miradi mbali mbali ya serikali na hata makampuni binafsi.Wasiliana nasi