Pre paid Submeter Tanesco
Hizi ni type ya submita inayotumika kwenye nyumba za kupanga au fremu za maduka, Submita hiz,mnaeza wekeana unit kadiri ya mtu alivyolipia umeme, Unit zake zikiisha inakata kwa aliyemaliza umeme wake tu. Inafaa zaidi kwa Wamiliki wa fremu za maduka na wenye nyumba kwa ajili ya wapangaji wao