Post Your Ad

Tanzania's Marketplace For Products & Services

Majiko ya Shule Yanayotumia Kuni Chache

Tsh 10,000

Product Details:

*Karibu, Tunatengeneza Majiko Ya Shule Yanayotumia Kuni Chache* 1. *YA MFUMO YA GAS* a) Jiko lenye sufuria ya ujazo wa lita 50 b) Jiko lenye sufuria ya ujazo wa lita 100 c) Jiko lenye sufuria ya ujazo wa lita 150 d) Jiko lenye sufuria ya ujazo wa lita 200 2. *MFUMO WA KUNI* a) Jiko lenye sufuria ya ujazo wa lita 50 b) Jiko lenye sufuria ya ujazo wa lita 100 c) Jiko lenye sufuria ya ujazo wa lita 150 d) Jiko lenye sufuria ya ujazo wa lita 200 Nb. Mfumo wa gas utanunua mitungi ya gas Location: Biafra Kinondoni Dar es Salaam Tunatengeneza kwa mikoa yote na nchi jirani

Do you Have Something To Sell?

Post your ad on dilizote.com