Vacuum Bottle
Msimu wa baridi ndio huu..
- Ukiwa unaenda Ofisini au Chuo unaweza kujibebea chai au Uji wako kwenye chupa yako utaenda kunywa taratibu...
- Ina Ujazo wa mls 500.
- Inatunza Joto/Baridi kwa masaa 10+
-Unaweza kumpa umpendae kama zawadi pia.
Utaipata ndani ya masaa 24 kuanzia utakapothibitisha malipo ya oda yako.
Tupo Tegeta Dar Es Salaam.
Tunatuma popote Tanzania Kwa gharama za mteja.