Mashine ya kusaga majani na magunzi ya ng'ombe na nguruwe kwa saa moja inasaga tan 5 za majani
Inatumia umeme au engen ya mafuta
Kwa saa moja itatumia unit 5-7
Kwa mafuta ni Lita 2 kwa saa
Bei million 3.5 ndogo Millioni 2.5
Tuko Arusha mianzini
Tembelea peg yetu @RevoEnginering5