Post Your Ad

Mashine ya kusaga majani

Tsh 2,500,000

Product Details:

Mashine ya kusaga majani ya ng'ombe , nguruwe,mbuzi nk Pia inasaga magunzi ya mahindi na mabua yanakuwa pumba Kama ya mahindi Tuko Arusha mianzini karibu na iliboru secondary