Animal feed mixer (Mashine ya kusaga vyakula vya mifugo)
Animal feed mixer (Mashine ya kusaga vyakula vya mifugo)
Tsh 6,500,000
Product Details:
Animal feed mixer
Mashine hii ni kwajili ya kusaga na kuchanganya vyakula vya mifugo kama vile kuku wa kisasa ,kuku wa kienyeji, ngombe wa maziwa, nguruwe, mbwa nk
Mashine hii inasehemu kuu mbili-
1:kusaga -feed mill
2:kuchanganya-feed mixer
Matumizi
1:Kisagio( feed mill) Ndio utaweka Mali ghafi zote unazotegemea kusaga kutokana na chakula unacho tengeneza.
2:kuchanganya (feed mixer) Ndio inayo pokea kutoka kwenye kisagio baada ya kusaga ili ichanganywe
Aina za mashine
1:nusu Tan
2:Tan moja
3:Tan moja na nusu
4:Tan mbili
5:Tan tatu