Post Your Ad

GPS tracking

Tsh 200,000

Product Details:

-Tunauza na kufunga GPS tracker kwenye vyombo vya moto Kama magari ,pikipiki na bajaji. -Utaweza kufanya tracking kujua mahala kilipo chombo chako kupitia simu yako. Hii bei ni pamoja na kufungiwa Tunapatikana Sinza kumekucha