Post Your Ad

Wauzaji Wa Mbao Zenye Dawa

Tsh 20,000

Product Details:

Mbao Zenye Dawa Zilizo Pikwa Kwa Mtambo(Treated Timber) >Haziliwi na wadudu >Haziozi >Zimekomaa >Kupakiliwa Ni Bure >Ushauri Bure Tunapatikana Kimara Baruti Pia Mbezi Msigani Karibu Na Benki Ya Crdb. (Morogoro Rd) Dsm