Tanzania's Marketplace For Products & Services
Mashine Za Kunyolea utawaletea mpaka majumbani bila kulipia ghalama ya ziada (FREE DELIVER). Mashine za kucharge za ndevu ni 18,000 Tu, Mashine ya 3 in 1 bei ni 30,000 hii ni ya kucharge inaweza kunyoa sehemu zote za mwili kuanzia kichwani mpaka chini. Mashine za saloon zinaanzia 40,000 & WAHL ORIGINAL 70,000 & 100,000 call/txt/whatsapp ofisi ipo mtaa wa SIKUKUU na MCHIKICHI