Mashine ya kuhesabia hela
Bill Counter Machine
-Usipoteze muda mwingi kuhesabu pesa, Wateja wengi wanapenda fast & excellent services
-Upgrade ofisi yako iwe ya kisasa zaidi kwa kujipatia hii mashine ya kuhesabia hela ili uweze kuwahudumia wateja wako kwa haraka na ufanisi mkubwa
-Mawakala wa Mpesa, Tigopesa etc hii sio ya kukosa kwenye ofisi zenu
-Inahesabu milioni moja kwa sekunde kumi tu
-Hii itakusaidia kugundua noti feki, hela zilizochanika na ambazo zipo katika hali mbaya
-Ni rahisi sana kuitumia, na itaifanya ofisi/biashara yako iwe ya kisasa zaidi na utendaji kazi utakuwa wa ufanisi zaidi
- Waranty mwaka mmoja
Tupo dar es alaam- kariakoo
Kwa wateja wa dar free delivery . Mikoani unatumiwa