Post Your Ad

i12 Tws (true wireless stereo) Wireless Bluetooth earphones

Tsh 28,000

Product Details:

i12 Tws (true wireless stereo) hizi earphones unaweza kuziunganisha na simu au computer kwa njia ya bluetooth, hazichagui simu iwe android au ios, ni mpya kabisa yaani fullbox nakuletea ikiwa na usb na power bank yake , ni touch control unachaji lisaa 1 na kutumia masaa 3-4 na power bank yake inauwezo wakuchaji mara 3 kwa uwezo huo unaweza kutumia i12 siku nzima, free delivery kwa Dar